MAELEZO PODCASTS

Utafiti Kuhusu Kiwango cha Pombe na Athari Katika Moyo

MAELEZO PODCASTS

Show Notes

Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Peter Richard Kisenge kuhusu ushiriki wa JKCI katika michuano ya AFCON ambapo taasisi hiyo inatarajia kutoa huduma kwa teknolojia ya kisasa na mpya barani Afrika, pia kutoa taarifa ya utendaji na mafanikio ya taasisi katika kuwafikia wananchi. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

More from MAELEZO PODCASTS

Oct 29, 2026

Exclusive Interview na mshindi wa taji la Miss Grand International, Mtanzania Jihan Dimack kuhusu mwanzo wa safari yake kwenye mashindano ya urembo, mafunzo ya maisha, ujumbe kwa mabinti na vijana, mipango na malengo aliyonayo baada ya kutwaa taji. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

Oct 16, 2026

Mazungumzo na Mzee Hokororo, Mtumishi Mstaafu wa Idara ya Habari-MAELEZO anayesimulia historia ya Idara, safari ya sekta ya habari nchini mpaka kuanzishwa kwa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na safari yake ya umahiri katika upigaji picha iliyomuwezesha kufanya kazi na marais wa awamu tofauti kuanzia Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hadi awamu ya sita. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

Oct 2, 2026

Dkt. Lugano Wilson, Daktari Bingwa wa usingizi na ganzi tiba kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodona anatupitisha zaidi kwenye hduma hii kuanzia historia yake, sababu za kuanzishwa kwa huduma hii ya uzazi, faida yake, malengo ya huduma hii kwa miezi sita ya kwanza na usalama wa huduma hii kitaalamu ikifahamika epidural. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

Sep 25, 2026

Mzungumzo na Mhandisi Asajile John kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuhusu hatua iliyopigwa na Tanzania kimawasiliano, fursa za kimtandao zilizopo kwa sasa. Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

Sep 18, 2026

Mazungumzo na mkaguzi wa droni (Drone Inspector), Bw. Ibrahim Abdallah kutoka Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) ambaye ameweka wazi kuhusu taratibu za usajili wa droni na utaratibu wa kufuata ili mtu aweze kupata leseni ya kurusha droni. Unaweza kutazama Episode hii pia kupitia chaneli ya Youtube "Maelezo TV". Support the show Msemaji Mkuu wa Serikali

See all episodes →